Breaking News

Thursday

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge waBunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utatibu, Mhe. Stephen Wasira. Bngeni Mjini Dodoma Juni 12, 2013. 
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, Bungeni mjini Dodoma Juni 12, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na bunge wa Viti Maalum na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni12, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Southern Highlands yaMafinga Iringa waliotembelea Bunge Juni 12,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013.

Wanachuo wa Chuo kikuu Cha Mtakatifu John cha Dodoma wakifurahi kusalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013.(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)



Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages