Breaking News

Friday

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI

BAADHI YA MATUKIO YALIYO JIRI KATIKA PICHA BUNGENI.
 Yussuf Salim Hussein wa CUF akiapa kuwa mbunge Bungeni Mjini Dodoam Juni 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu mawali Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya  kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20,  2013.
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya  kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20,  2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi kwenye viwanja vya Bunge MjiniDodoma Juni 20, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67153
Powered by Blogger.

Pages