Breaking News

Tuesday

MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO ONE NA ITV MAULIDI KITENGE ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LAA UBUNGO KWA TIKETI YA CCM



Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM. Kitenge anakuwa miongoni mwa watu maarufu na wasanii waliotangaza nia hiyo kama Soggy Dogg Hunter (CHADEMA, Segerea) na Afande Sele (CHADEMA, Morogoro). Aidha, kuna tetesi kuwa huenda wasanii MwanaFA (CCM) na Prof Jay (CHADEMA) wakatangaza nia bila kumsahau msanii wa Bongo movie Ray Kigosi.
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67153
Powered by Blogger.

Pages