Breaking News

Sunday

TAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2013 NI FUNIKA BOVU NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linex akiwasalmia mashabiki na wapenzi wa muziki walio furika kwa wingi ndani ya uwanja wa jamhuri.usiku huo kulikuwa na bonge moja la show ya Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Linex akiperform juu ya jukwaa na kupagawisha mashabiki  wa muziki wa bongo flava.


Msanii aliyejinyakulia Tuzo kadhaa za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.Ommy Dimpoz alienda sambamba na timu yake ya Madansa wakitoa burudani ya kufa mtu ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma usiku huu.


 Beni pol akiwa jukwaani na kuwatumbuiza watu ipasavyo






 Msanii wa hip hop mwenye tuzo nne za kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Kala Jeremiah akifanya vitu vyake ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.








j'dee akiparform na kuwapagawisha mashabiki wake jukwaani.


 mashabiki wa muziki wa bongo wakishangilia na kufurahiya tukio hilo lililo fana.
PROF J akifanya mambo yake jukwaan.









Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67153
Powered by Blogger.

Pages