Breaking News

Wednesday

TAZAMA PICHA ZA KAJALA AKIWA MWANZA PIA AWATEMBELEA MASISTER WAKATOLIKI KWENYE NYUMBA YAO.

Mwigizaji Kajala masanja alierudi uraiani hivi karibuni baada ya kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 5 za kitanzania zilizotolewa na mwanadada Wema Sepetu ameamua kwenda mapumzikoni jijini Mwanza kwa ajili ya mapumziko ya binanafsi ya kutuliza akili yake zaidi akitafakari mipango yake iliobakia kwa ya mwaka 2013.
Akizungumza na simu tokea na bongo movies tokea jijini humu kajala amesema hii ni safari yake ya kwanza mkoani humo toka atoke jela na atakuwepo kwa siku kadhaa kabla ya kurejea jijini Dar-es-salaam.
Kitika moja ya picha mbalimbali alizoweka mtandaoni kajala alionekana kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada (kanisani) huku akiandika “kanisani kidogo kusali muhimu sana kushukuru Mungu kila siku….” Akiwa pamoja na masista kadhaa wa kanisa hilo la katoliki eneo hilo. CHANZO:BONGO MOVIE



*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*

Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages