Breaking News

Wednesday

WAZIRI MKUU WA TANZANIA MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI WABUNGE WA CHADEMA NASARI,NAMELOK SOKOINE.

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa  kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (picha na ofisi ya waziri mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole  Mbunge wa Viti Maalum,Namelok Sokoine aliyelazwa kwenye hospital ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumban kwake. (picha na ofisi ya waziri mkuu

*Asante kwa kutembelea blog yetu*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67153
Powered by Blogger.

Pages