Breaking News

Thursday

ARSENAL NOMA, YAMFANYA SHABIKI KUKIMBIA UMBALI WA MAILI 3 ILI APIGE NAO PICHA WACHEZAJI HUKO VETNAM.


Shabiki mmoja raia wa Vetnam jana alifanya kitendo cha ajabu baada ya kukimbia sambamba na basi lilowabeba wachezaji wa Arsenal kwa takribani maili 3.
 
Katika kulikimbilia basi hilo alikutana na vigingi tofauti lakini 
kijana yule wa kivetnam hakukata tamaa ya kulifikia basi la Arsenal na kuwaona wachezaji wa timu aipendayo.

Baada ya kulikimbiza basi hilo kwa muda mrefu hatimaye kijana 
huyo alipata msaada kutoka kwa mwenye pikipiki na kuufikia 
mlango wa basi hilo na wachezaji wa Arsenal wakamfungulia 
mlango kisha kumpokea kwa furaha.

Kijana huyo alitimiza ndoto yake baada ya kupiga picha na 
wachezaji wote pamoja na kocha  Arsene Wenger.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67165
Powered by Blogger.

Pages