Theo Walcott 'akipiga chuma
Jack Wilshere na Emmanuel Frimpong wakiwa kwenye mazoezi ya kunyanyua vitu vizito
NYOTA wa uzito wa juu wa Arsenal wamerejea mazoezini jana asubuhi huku kikosi cha Arsene Wenger kikianza maandalizi ya msimu mpya.
Na The
Gunners wakielekea kwenye kampeni ya kushinda taji la kwanza kwa zaidi ya miaka
nane, wachezaji walifanya mazoezi mepesi ya kukimbia na kunyanyua vitu vizito
katika Uwanja wao wa mazoezi wa Colney, London.
Mashabiki
wa Arsenal watamuona Jack Wilshere akifanya mazoezi kikosini, na wengi
wakiamini uimara wa nyota huyo wa England ni dalili nzuri kwa kikosi cha Wenger
kuelekea msimu mpya.
0 comments:
Post a Comment