Walitegemea kuwa Aunt Ezekiel ataungana
na mumewe Sunday katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini hali imekuwa
ni tofauti.
Aunt anayetumia jina la Rahma
baada ya kubadili dini ili aolewe na mwanaume huyo, amemtosa mkaka huyo na kuendelea kula bata nchini huku akidai
kuwa mumewe hana mengi.
"Sina mpango wowote wa kuondoka
nchini kumfuata mwanaume.Yeye ni mume wangu,
ntamkuta tu hata nikienda mwakani.
"Kwanza mume wangu hana mengi
na si mkorofi na anajua wazi kwamba
sipendi kubanwa.Kwa sasa nina mambo mengi
likiwemo hili la kuisambaza filamu yangu
mpya ya Scola mwezi ujao"...Alisema
aunt Ezekiel
0 comments:
Post a Comment