Breaking News

Tuesday

BARCELONA YAMTENGEA PAUNI MILIONI 30 DAVID LUIZ,


KLABU ya Barcelona imetangaza ofa ya Pauni Milioni 30 kwa ajili ya beki David Luiz – lakini Chelsea itagoma kumuuza kwa bei hiyo.Barca, ambao pamoja na ubora wao wote, wana hasara katika safu ya ulinzi, wanatarajiwa kuboresha ofa hiyo kwa ajili ya beki huyo mwenye kipaji ambao wanataka awe mbadala wa Nahodha wao, Carles Puyol.
Vyanzo vimesema ni 50/50 kwaLuiz kubaki Chelsea, ambako amekuwa mchezaji tegemeo tangu awasili Januari mwaka 2011 akitokea Benfica, au kuhamia kwa timu hiyo kubwa Ulaya.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67144
Powered by Blogger.

Pages