
RAIS OBAMA akitelemka kwenye Air Force One na mtoto wake pembeni mara baada ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania wakati akitokea afrika ya Kusini majira ya saa 8 mchana kwa ziara ya kikazi nchini.

Barack Obama akipokewa na Wananchi wa Tanzanian huku wanaband wakitumbuiza nyimbo mbalimbali kwenye uwanja wa Mwl.Julius Kambarage jijini Dar es Salaam leo hii mchana akitoka Africa kusini.

Rais Obama akipita kwenye kapeti jekundu huku akiwa na furaha na kucheza nyimbo za wabongo kwenye uwanja wa jijini Dar es salaam wa Mwl. Julius Kambarage mchana wa leo.

Rais Obama akifurahiya ngoma za kibongo

Rais Obama akiyarudi baada ya uvumilivu kumshinda hizo ndo ngoma zetu.





RAIS OBAMA AKIWA NA MKE WAKE PAMOJA NA RAIS JAKAYA AKIWA NA MKE WAKE







Rais George W. Bush na mkewe pia watakwepo hapa nchini Tanzania na pia watajumuika pamoja na Mr Obama Kesho.
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
0 comments:
Post a Comment