Mwanamke
mmoja mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti ameushangaza ulimwengu kwa kitendo
chake cha Kujilazimishia mapenzi kutoka kwa mwanaume ambaye amekufa hadi
kufikia kupata Ujauzito.
Felicity
Marmaduke (38), Mkazi wa Lexington Missouri, alikumbwa na mkasa huo baada ya
kumtamani marehemu huyo wakati wa kumuosha na ndipo alipoamua kujiweka juu yake
na kuanza kufanya naye mapenzi, cha kushangaza ni kwamba maiti hiyo iliweza
kutoa mbegu za kiume.
Baada ya wiki mbili, mwanamke huyo alienda kujipima ujauzito baada ya kujihisi tofauti na ndipo alipogundua ya kwamba ameshika mimba.
Baada ya wiki mbili, mwanamke huyo alienda kujipima ujauzito baada ya kujihisi tofauti na ndipo alipogundua ya kwamba ameshika mimba.
Ilimbidi atoe taarifa kwa
familia husika ambayo ilimfungulia mashataka kwa kitendo chake hata hivyo naye
amefungua mashtaka akidai iuzwe moja ya nyumba ya marehemu huyo ili alipwe
gharama za matunzo.
CHANZO:jambotz8blog.
0 comments:
Post a Comment