
KIUNGO Steven Gerrard amesaini Mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea Liverpool, ambao utamfanya adumu Anfield hadi atakapotimiza miaka 35.
Nahodha huyo wa Liverpool, ameiambia tovuti ya Liverpool kwamba: "Nafikiri kila mmoja anajua inamaanisha nini kwangu,"
0 comments:
Post a Comment