Breaking News

Monday

WABUNGE WA SIMBA WASAKATA VYEMA LAKINI WABUNGE WA YANGA WAO NI GOLI TU KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI JANA.


  MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa kazini
 Bango linajieleza lenyewe
 mashabiki walioshiriki tamasha hili la matumaini
N ape mnauye nae pia alikwepo
 Muandaaji wa Tamasha akiteta na Rais JK.
Wachezaji wa timu ya bunge inayo shabikia timu ya simba 

Wachezaji wa timu ya bunge inayo shabikia timu ya Yanga
Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini akisema machache
Waandishi wa Habari wakiwa kazini.


JK akifungua rasmi Tamasha la Matumaini na kuwaasa watanzania wajiepushe na watu wanao taka kuwatenganisha.
 JK akijianda kupuliza kipenga kuashiria kuanzisha mpira.

Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha JK kutoa hotuba yake

 JK akisalimiana na wachezaji wa Bongo Movie.
 Picha ya pamoja ya wachezaji wa simba timu ya bunge.
Picha ya pamoja ya wachezaji wa yanga timu ya bunge  
JK akitia saini mpira utakao chezwa.
Picha ya pamoja.
Jk apuliza kipenga kuashiria mpira kuanza
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67156
Powered by Blogger.

Pages