Kutana na MC SIMBA ambae ndio mmiliki wa blog hii. MC Simba ni mmoja
kati ya Mc mzoefu alietumikia huduma hii kwa zaidi ya miaka 15. Uzoefu na
wasifu wake utaupata kwenye makala maalum itakayochapishwa jumatatu ya tarehe
15-7-2013. Leo tunapenda kukupa upande wa pili wa kazi zake. Ameamua
kuwatumikia wadau wake wa sherehe, madhimisho ya kitaifa, makongamano,
mikutano, harusi, send off, mikutano ya kidini na shughuli mbalimbali,kuwa
kupitia kampuni yake ya Mc simba general supply co. Ameanzisha kitengo malum
cha event manegment yeye akiwa kama event planer mkuu. Kwa wale wanaohitaji
huduma ya wedding planer wasiliana na mc simba ambae kwa mawasiliano yake hapo
juu. Moja ya kazi atakazo kusaidia ni kukutanisha na wadau wa sherehe kama ma
mc, ma dj, wapambaji, watoa huduma ya keki, salon bora za kupambwa
mahurusi.chakula, kumbi bora za kufanyanyia sherehe, mapambo, wapiga picha,
sehemu nzuri za kupigia picha.ma desigmer na watoa huduma mbalilmbali katika
sherehe. Huduma hii kwa hapa kwetu ni mpya kwa walio wengi kwani wamezoe
kuandaa harusi na sherehe mbalimbali kwa kutumia wanakamati. faida ya huduma
hii ni kwamba unakutanishwa na watendaji wazoefu na wanaofanya kazi kwa ubora
wa hali ya juu. nina wakaribisha sana kwenye huduma yangu hii mpya kama
wedding planer. Fuatilia matukio ya picha yenye kuonyesha kumbi mavazi, keki,
upigaji wa picha. kwa huduma hizi na nyingine nipigie kwa ushauri wa harusi
yako na sherehe mbalimbali.
MATUKIO KATIKA PICHA
MOJA YA SEHEM NZURI YA KUPIGIA PICHA.
TUTAFUTE KWA AJILI YA WAPIGA PICHA WAZOEFU
TUTAKUSHARI UVAE NA KUPENDEZA KAMA HAWA
MOJA YA MAVAZI MAZURI.KAMA HAYA TUONE UKIHITAJI KUPENDEZA
KWA MADESIGNER WAZURI WASILIANA NASI UPENDEZE KAMA HAWA
SHAMPENI ORIGION KAMA HIZI WASILIANA NASI
VAZI LA SEND OFF AU MTOKO WA USIKU
MASHELA YA KIWNGO KAMA HAYA WASILIANA NASI
NGUO ZA KIAFRIKA WASILIANA NASI
KWA MAHITAJI YAKO YA KEKI BORA KAMA HIZI WASILIANA NASI
HAKIKA WAMEPENDEZA UNASUBIRI NINI KUTUONA ILI NAWEWE UPENDEZE SIKU YAKO IKIFIKA
MAVAZI YA AINA KAMA HII NA MENGINEYO WASILIANA NASI
MPANGILIO WA RANGI NA MAVAZI MAZURI KAMA HAYA WASILIANA
ENGLISH KEKI ZA NDANI NA NJE YA NCHI WASILIANA NASI
KWA MAPAMBO MAZURI NA
WAPAMBAJI WENYE UZOEFU NAMNA HII WASILIANA NASI
***ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU***
0 comments:
Post a Comment