MC NA MZIKI VIDEO SHOOTING NA STILL PICTURE: BY MC SIMBA CAMPANY LTD
MC : MC SIMBA
UKUMBI: MESUMA HOTEL KIJITONYAMA
BI HARUSI BEATRICE AKISHUKA KWENYE GARI KUELEKEA BOMANI KUFUNGA NDOA.
EMANUEL AKILA KIAPO CHA NDOA
BEATRICE AKILA KIAPO CHA NDOA
EMANUEL AKIMVISHA PETE YA NDOA MKE WAKE BEATRICE
BEATRICE AKIMVISHA PETE YA NDOA MUME WAKE EMANUEL
EMUNUEL AKISAINI CHETI CHA NDOA BAADA YA KUFUNGA NDOA
BEATRICE AKISAINI CHETI CHA NDOA
BEATRICE AKIKABIDHIWA CHETI BAADA YA KUFUNGA NDOA
EMANUEL AKIKABIDHIWA CHETI CHA NDOA.
EMANUEL NA BEATRICE WAKIONYESHA VYETI VYA NDOA BAADA YA KUKABIDHIWA
FUATILIA BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA JANGWANI SEA BREEZE HOTEL BAADA YA KUFUNGA NDOA
HII NDIO ILIKUWA KEKI YA HARUSI YA EMANUEL NA BEATRICE
EMANUEL NA BEATRICE WAKIWA WANAINGIA UKUMBINI
SALA YA UFUNGUZI WA SHEREHE
SHEREHE ILIZINDULIWA KWA KUFUNGUA SHAMPENI
MAHARUSI WAKIMIMINIWA SHAMPENI
EMANUEL NA BEATRICE WAKINYWESHANA SHAMPENI
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI AKITOSI SHAMPENI NA BIBI HARUSI
WAALIKWA WAKITOSI NA MAHARUSI
MJOMBA WA BWANA HARUSI AKITOS NA MAHARUSI
EMANUEL NA BEATRICE WAKIKATA KEKI KWA PAMOJA
EMANUEL NA BEATRICE WAKILISHANA KEKI
MATRONI NA BESTMAN WAKILISHANA KEKI KWA STAILI YA AINA YAKE
BEATRICE AKIMKABIDHI KEKI WAKWE ZAKE
EMANUEL AKIKABIDHI KEKI WAKWE ZAKE
MAHARUSI WAKIMKABIDHI KEKI MWENYEKITI WA KAMATI YA SHEREHE YAO
EMANUEL AKIMTAMBULISHA MKE WAKE BEATRICE
HUYU NDIO BABA MZAZI WA EMANUEL
MAMA MZAZI WA EMANUEL
BEATRICE AKIMTAMBULISHA MUME WAKE
MAMA NA BABA WA BIBI HARUSI WAKITAMBULISHWA
EMANUEL NA BEATRICE WAKICHUKUWA CHAKULA
MAMA NA BABA WA BI HARUSI WAKICHUWA CHAKULA
MAMA MZAZI WA EMANUEL AKICHUKUWA CHAKULA NA NDUGU WA KARIBU
EMANUEL AKIMLISHA CHAKULA MKE WAKE
EMANUEL NA BEATRICE WAKILISHANA CHAKULA
EMANUEL NA BEATRICE WAKIPATA CHAKULA CHA PAMOJA NA WADHAMINI WAO
WAZAZI WA EMANUEL WAKIPATA CHAKULA
ZIFUATAZO NI PICHA ZA EMEANUEL NA BEATRICE WAKIKABIDHIWA ZAWADI KWENYE SHEREHE YAO.
BIBI HARUSI AKIWAPA ZAWADI WAKWE ZAKE
MAHARUSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANA KAMATI
BAADA YA MZIKI KUPANBA MOTO MARAFIKI WA BWANAHARUSI WALIMBEBA JUU JUU
MAHARUSI WAKITOKA UKUMBINI
MC SIMBA AKIAGANA NA BAADHI YA WANAKAMATI
Daah ilikuwa bonge la harusi upo juu Mc simba maana ilichangamka hakuna mfano
ReplyDelete