|
Saluni aliyopambwa Bi Rose Bi Rose katika pozi mara baada ya kupambwa Akivaa hereni Akiwa kwenye gari tayari kwa safari ya ukumbini Banora |
| Ukumbi wa Banola ukiwa umeandaliwa maalum kwa usiku wa Rose |
| Mc Simba ambaye ndiye alikuwa mshereheshaji wa usiku wa Bi Rose |
| Bi Rose akiwa na mpambe wake wakiwa tayari kufungua shampeni |
| Wakinywa shampeni kama ishara ya ufunguzi wa sherehe hiyo maalum |
| Ndugu jamaa na marafiki wakitakiana heri na baraka kwa kuhudhuria katika usiku wa Bi Rose |
| Keki maalum kwa siku ya kumpongeza Bi Rose kwa hatua kubwa maishani mwake |
| Akielekezwa na mpambe wake namna ya kukata keki hiyo |
| Bi Rose akimlisha mpambe wake keki na kumshukuru kwa kujumika nakukubali kuwa mpambe wake siku hiyo |
| Bi Rose akimkabidhi keki mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe yake |
| Ndafu time |
| Maridadi kweli kweli |
| Akiwa katika pozi na mpambe wake walipendeza sana |
| Akimvisha saa mmewe mtarajiwa |
| Wakiwa na nyuso za furaha Bi Rose na Mmewe mtarajiwa wakipita mbele wageni waalikwa wapate kumuona walipendeza sana |
| Mda wa chakula Bi Rose akipakua chakula maalumu kilichoandaliwa kwa ajili ya siku yake mhimu |
| Akimlisha chakula mme wake mtarajiwa |
| Wazazi wa Bi Rose wakitoa neno na nasaha kwa mtoto wao mpendwa na mmewe mtarajiwa ili kuwatakia baraka katika maisha yao mapya |
| Zawadi ya kamati ya maandalizi ikitolewa |
| Mama mzaa chema akitunzwa na wageni waalikwa |
| Bi Rose akimpa mkono mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe yake kama ishara ya shukrani |
| Kaka wa Bi harusi Bw Patrick akitoa Nasaha kwa mdogo wake Rose |
| Kaka na Dada wakikumbatiana na kutakiana maisha mema |
| Picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo |
| Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wakiondoka ukumbini huku wakiwapungia mikono waalikwa |







0 comments:
Post a Comment