Breaking News

Monday

JESHI LA UFILIPINO LAPAMBANA NA WAPIGANAJI WA KUNDI LA MORO NATIONALI LEBRATION FRON KATIKA MJI WA ZAMBOANGA.


Wapiganaji wanaodhibiti mji wa Zamboanga, kusini mwa nchi, baada ya siku sita za mapigano ambayo yamepelekea watu zaidi ya laki saba kuhama makwao.
Mwandishi wa BBC Barani Asia anasema risasi zimekuwa zikifyatuliwa wakati wote huku jeshi likijongelea maeneo mawili ya mwisho yenye mapigano mjini Zamboanga.
Takriban watu 65,000 inajulikana wameuwawa.
Jeshi limeripoti kuwa wengi waliouwawa ni wapiganaji wa kundi la Moro National Liberation Front, MNLF.
Rais Benigno Aquino na makamu wake wamezuru eneo hilo Jumamosi ili kufanya majadiliano ya kutafuta amani, lakini kwa sasa inaarifiwa wanaongoza jeshi wakati linakabiliana na wapiganaji. BBC
Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages