Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Taylor pamoja na meneja wa viwango wa kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi wakionyesha cheti walicho tunikiwa na shirika la viwango la kimataifa(ISO)kwa wana habari jana katika ofisi za kiwanda cha bia ya Serengeti jana Dar es salaam.
Meneja viwango wa
Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi akiwa amebeba cheti walichotunukiwa na
shirika la viwango la Kimataifa (ISO)mara baada ya kumaliza mkutano na
waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam.
Meneja mawasiliano
ya ndani wa kampuni ya Bia ya Serengeti Imani Lwinga akizungumza jambo katika
mkutamo wa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kushoto ni mkurugenzi
wa uzalishaji na usambazaji wa kampuni ya Bia ya SerengetiMark Taylor.
Meneja wa viwangi
wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi akiwa amebeba cheti walichotunukiwa
na shirika la Viwango la Kimataifa(ISO)akizungumza katika mkutano huo na
waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi wa uzalishaji
na usambazaji wa kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Tayloy.
0 comments:
Post a Comment