Meneja wa bia ya Kilimanjaro music
awards George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kill music Tour
2013 jijini Dr es salaam. Kushoto ni Kala Jeremiah na Kulia ni Nassibu Abdalah ‘Diamond’.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Nassibu Abdalah akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu ziara ya kwenye mikoa 8 ambapo jumla ya wasanii 24 watashiriki.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Kala Jeremiah akizungumzia ziara hiyo ya wasanii katika mikoa 8 ikishirikisha wasani 25.
Chazi
Baba akitoa vionjo vya moja ya nyimbo zake.Chazi Baba ni miongoni mwa wasanii waliyo inyakulia ushindi mkubwa katika mashindano ya kilimanjaro music awards.
Meneja wa Baia ya Kilimanjaro George
Kavishe akiteta jambo na Diamond na chaz Baba wakati wa mkutano wa waandishi wa
habari kuhusu Kili Music Tour 2013
Profesa J akiwashukuru wale wote waliompigia kura pamoja na kuwasihi wasanii kutokata tama na kujipanga vizuri katika tuzo za mwakani ili waje kungara.
0 comments:
Post a Comment