Khadija Kopa akilia kwa
uchungu hata kushindwa kutembea mwenyewe.
Dah sina hata la kusema.
Pole sana mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki kigumu
Baadhi ya viongozi na
wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa
taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege
wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf
aliyefariki Dunia kutokana na ugonjwa. Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye
Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere
Mkoani Rukwa jana.
0 comments:
Post a Comment