Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka jana usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi.endelea kufuatilia matukio blog yetu kwa habari zaidi.
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*







0 comments:
Post a Comment