Breaking News

Friday

MWANAMUZIKI CIARA ASHTAKIWA


Mwanamziki Ciara ameshtakiwa na bar inayohudhuriwa na watu wanyekushiriki mapenzi ya jinsia moja iliyoko West Hollywood, ambao wanadai kuwa mwanamziki huyo aliwaacha kwenye mataa pale alipojitoa katika moja ya tamasha lao walilotarajia kulifanya leo usiku 07-06-2013 

Club hiyo ya usiku inayoitwa "The Factory" inasemekana kuwa inajaza sana wateja wake hao ambao wanajua ku-party 

kutokana na mshtaka hayo, Ciara ali-sign dili la dola za kimarekani 10,000 kutokea katika bar hiyo leo usiku, ikiwa ni siku moja kabla ya kufanya show kwenye L.A. Pride parade. 

Factory wanasema kuwa Ciara amesema kuwa hataweza ku-perfome kutokana na kizuizi kilichopo kwenye mkataba wake aliosaini na tamasha la  Pride na kuendelea kusema kuwa bila kutarajia mwanadada huyo alijitoa siku ya tarehe 3 june, na kuwaacha wakiwa hawana star yoyote kwenye bash hiyo kabla ya pre gay parade bash 

Kwasasa bar hiyo inamshtaki Ciara kwa kukatisha mkataba na kumtaka alipe hela zote ilizotumia kutangaza uwepo wake pamoja na pesa ambayo wataikosa kwa kutokuja kwake.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67156
Powered by Blogger.

Pages