Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu
Langa kileo ambaye alikuwa msanii wa bongo fleva itakuwa hivi ,msiba upo
nyumbani kwa wazazi wake langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp ya AAR zamani
kulikuwa na ofisi za Benchmark Production.Mwili wa marehemu utaagwa siku ya
Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaribu ya
kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
0 comments:
Post a Comment