Mke wa Mzee Nelson Mandela,Winnie Madikizela-Mandela akizungumza na vyombo vya habari baada ya kumtembelea Rais wa zamani wa Afrika ya kusini Mzee N elson Mandela hapo jana ijumaa.
Akiendelae kuzungumza na vyombo vya habari nje ya Hospitali alikolazwa mzee Nelson Mandela
Baadhi ya watu waliofika hospitalini wakimpa moyo mke wa Mzee Nelson Mandela
hiki ni chombo kinacho tumia remote kilicho fungwa kamera kurekodi matukio katika hospitali aliyolazwa mzee mandela
Nelson Mandele akiombewa dua na wakazi wa Afrika kusini.
0 comments:
Post a Comment