Breaking News

Saturday

UKARABATI UNAVYOENDELEA KWENYE MAKAZI YA MZEE NELSON MADELA.



Wakati kukiwa na vita ya chini kwa chini dhidi ya vyombo vya habari vinavyofuatilia mwenendo wa afya ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kumekuwa na pilika nyingi katika makazi ya kiongozi huyo yaliyopo eneo la Houghton, Mtaa wa Laan 12, jijini Johannesburg.

 

Wakati hayo yakiendelea pilika katika makazi ya Mandela ziliwahusisha makundi ya watu na kampuni kadhaa za jijini Johannesburg, wakiwamo watu waliokuwa wakifanya usafi.

Kazi hiyo ilifanyika kwa kufagia na kuzoa taka, usafi wa vitalu na kubadilisha mawe, utengenezaji wa bustani za maua na pia mafundi waliokuwa wakifanya shughuli za marekebisho ya njia za umeme katika eneo hilo,pamoja na ukarabati wa barabara zinazoelekea kwenye makazi yake

                   *ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67156
Powered by Blogger.

Pages