Breaking News

Thursday

TEVEZ APATA MAPOKEZI MAKUBWA ITALIA TAZAMA PICHA.






MSHAMBULIAJI Carlos Tevez amewasili Italia na kupata mapokezi makubwa kuelekea uhamisho wake wa Pauni Milioni 10 Juventus kutoka Manchester City.Mpachika mabao huyo wa Kiargentina alitua katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa mjini Milan na kupokewa na umati wa mashabiki ambao mara zote hupenda kuwalaki nyota wao wapya.Tevez, mwenye umri wa miaka 29, anataraji kusaini mkataba wa miaka mitatu jijini Turin baada ya vipimo vya leo huku makubaliano yakiwa yamefikiwa. 
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67163
Powered by Blogger.

Pages