Mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mganga na Mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa kufanya mambo ya kishirikina

Mwanamke mmoja
katika picha hapo juu ajulikanae kwa jina la Magreth Simon Nkwera,amekamatwa
kwa Mganga wa kienyeji akitaka kutekeleza jaribio la kutaka kuwauwa baadhi ya
watoto wa mumewe na baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na
hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa
kizimbani.
Mtuhumiwa huyo
ambaye ni mfanyakazi wa shirika la nyumbu kibaha mkoani Pwani akiwa anahojiwa na mzee wa ukoo wa
Shirima ,Afisa polisi jeshi daraja la kwanza Joseph Shirima mara baada ya
kukamatwa live kwa sangoma.
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
0 comments:
Post a Comment