
Waandamanaji
Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama
nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji
la Pretoria Nchini Afrika
Waandamaji
wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa
maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo jana wakati Raisi
Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ..
Mmoja wa
waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara
moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi OBAMA kuwa ni Mpishi wa
Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na kuendelea kuelezea kuwa sera za
Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu alibeba bango hilo jana Juni 28 wakati
wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya Ubalozi wa Marekani NChini humo kwa
kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini Mwao
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
0 comments:
Post a Comment