Breaking News

Tuesday

MFALME MSWATI WA SWAZLAND AONDOKA NCHINI.


 Mfalme Mswati wa Swaziland  akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka  kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam  kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere  Julai 1,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland  ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara  kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai  1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
              *ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67156
Powered by Blogger.

Pages