Breaking News

Wednesday

MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA.


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihojiwa na Mtangazaji, Adesewa Josh kutoka  Channels TV ya nchini Nigeria wakati wa mkutano wa wake wa Marais wa nchi zaa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 3.7.2013.


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika wakisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia mkutano huo tarehe 3.7.2013.


Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush na mke wake Mama Laura Bush pamoja na Mama Salma Kikwete wakiangalia igizo lililokuwa linafanya na kikundi cha Tanzania House of Talent wakati wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena tarehe 3.7.2013.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakiwa katika picha ya pamoja na wake wa marais wa Afrika  na wana kikundi cha Tanzania House of Talents mara baada ya kufanya igizo kwenye mkutano wao kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 3.7.2013.
Picha na:mwanahabari wetu
**ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU**
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67153
Powered by Blogger.

Pages