*ASANTENI WADAU WANGU, BY MC SIMBA*
Wednesday
Home »
» UZINDUZI WA BLOG YANGU MC SIMBA
UZINDUZI WA BLOG YANGU MC SIMBA
Habari wadau wa blog yangu. Mkono wa mungu upo nasi wote. Kwa upendo kabisa niwashukuru wadau wote mnaotembelea blog yetu. Mmenipa nguvu mimi na wandishi na wapiga picha wangu kuwatumikia kwa nguvu zetu zote ili muhabarike kwa habari na matukio motomoto. Mmeifanya blog yenu kufikia wa stani wa watu 100 kwa siku wanaoitembelea, naendelea kuwashukuru kwa kuniunga mkono na timu nzima ya blog yangu. Kwasasa nipo katika mchakato wa kupata mawakala na wandishi wa habari TANZANIA nzima ili mpate habari na matukio nchi nzima.Blog yangu inamuda mfupi toka ianzishwe lakini imendelea kufanya vizuri kwasababu ina wandishi na wapiga picha wenye hari ya kufanya kazi kwa kujituma. lakini nyinyi wadau umeifanya blog yetu pia kuwa kati ya blog mpya lakini yenye wastani wa kutembelewa na wadau wengi kwa siku. Asanteni kwa hilo mungu awabariki na endeleni kutembelea blog yetu. Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia kuwa tarehe 8-8-2013 tunategemea kuizindua blog yetu. Unakaribishwa kungana nasi kwenye uzinduzi kwa kusibitisha kuwepo kwako kwa kupitia no 0715 501059 au e mail mcsimba786@gmail.com. Mwisho wa kusibitisha kushiliki ni tarehe 25-7-2013 ili upate kadi ya mwaliko mapema. Nawashukuru pia wadau wangu wote niliowatumikia katika harusi,send off na sherehe na matukio mbalimbali, mungu awape maisha marefu na yenye afya njema ili niendelee kuwatumikia vyema.
0 comments:
Post a Comment