Wednesday
Home »
» RAIS KIKWETE ASIMIKWA KUWA MTEMI WA SUNGUSUNGU KITAIFA.
RAIS KIKWETE ASIMIKWA KUWA MTEMI WA SUNGUSUNGU KITAIFA.
Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji Ngudu, Wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza.
0 comments:
Post a Comment