Breaking News

Saturday

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BARAZA LA BAKWATA MKOA WA MOROGORO AFARIKI DUNIA.


MWENYEKITI wa Halmashauri ya Bakwata mkoa wa Morogoro, Sheikhe Shabaan Nyoni amefariki dunia leo majir

a ya saa 10 jioni.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu mmoja wa masheikhe wa baraza la masheikhe mkoa wa Morogoro, Sheikhe Mohamed Msoma alisema kuwa Sheikhe Shabaan Nyoni amefariki dunia jana majira ya saa 10 jioni na anatarajiwa kuzikwa leo majira ya saa mchana mkoani hapa.
Taarifa zaidi ya msiba huo tutaendelea kuwaeleza pindi tutakavyopata taarifa mpya. 
TUNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KATIKA MSIBA HUU. AMINA

Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages