Breaking News

Saturday

TIMU YA RAS YA NETIBOLI MORO YAJIFUA KUJIANDAA NA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA JAMHURI.

KOCHA mkuu wa timu ya netiboli ya Ras Morogoro Oliver Nambunga akifafanua jambo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya shimiwi 2013 katika uwanja wa jamhuri Morogoro ambapo mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika mkoani Dodoma kuanzia septemba 27 mwaka huu.
Mchezaji wa mchezo wa netiboli timu ya Ras Morogoro Leocadia Mwang'ombe akidaka mpira huku akizongwa na mchezaji mwenzake Huruma Mwaitebela wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya shimiwi 2013 katika uwanja wa jamhuri Morogoro ambapo mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika mkoani Dodoma kuanzia septemba 27 mwaka huu.
Kocha mkuu wa timu ya netiboli ya Ras Morogoro, Oliver Nambunga alisema kuwa timu yake yake kwa sasa ipo katika maandalizi makali kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Shimiwi yanayotarajiwa kufanyika katika ardhi ya Dodoma kuanzia Septemba 27 mwaka huu.
Nambung alisema kuwa katika maandalizi hayo anatarjia kukipima kikosi chake kwa michezo ya majaribio kabla ya kuingia katika mashindano hayo kwa kucheza michezo mitatu ama nne.
“Naandaa timu kwa ajili ya mashindano ya Shimiwi na hivi sasa nipo katika maandalizi ya kuwapa wachezaji wangu mazoezi makali na baada ya hapo nitahitaji michezo mitatu ama minne ya kujipima nguvu kabla ya mashindano hayo kuanza kuanza”. Alisema Nambunga.
Nambunga alisema kuwa katika maandalizi hayo tayari kikosi chake kimeonyesha ukali wake kwa kuonyesha makali baada ya kuitandika timu ya Madini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. 
Ras Morogoro inatarajia kujipima nguvu na St Joseph Kihonda Morogoro na Morogoro Veteran.Kocha mkuu wa timu ya netiboli ya Ras Morogoro, Oliver Nambunga alisema kuwa timu yake yake kwa sasa ipo katika maandalizi makali kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Shimiwi yanayotarajiwa kufanyika katika ardhi ya Dodoma kuanzia Septemba 27 mwaka huu.Nambung alisema kuwa katika maandalizi hayo anatarjia kukipima kikosi chake kwa michezo ya majaribio kabla ya kuingia katika mashindano hayo kwa kucheza michezo mitatu ama nne.
“Naandaa timu kwa ajili ya mashindano ya Shimiwi na hivi sasa nipo katika maandalizi ya kuwapa wachezaji wangu mazoezi makali na baada ya hapo nitahitaji michezo mitatu ama minne ya kujipima nguvu kabla ya mashindano hayo kuanza kuanza”. Alisema Nambunga.
Nambunga alisema kuwa katika maandalizi hayo tayari kikosi chake kimeonyesha ukali wake kwa kuonyesha makali baada ya kuitandika timu ya Madini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. 
Ras Morogoro inatarajia kujipima nguvu na St Joseph Kihonda Morogoro na Morogoro Veteran.Nambung alisema kuwa katika maandalizi hayo anatarjia kukipima kikosi chake kwa michezo ya majaribio kabla ya kuingia katika mashindano hayo kwa kucheza michezo mitatu ama nne.“Naandaa timu kwa ajili ya mashindano ya Shimiwi na hivi sasa nipo katika maandalizi ya kuwapa wachezaji wangu mazoezi makali na baada ya hapo nitahitaji michezo mitatu ama minne ya kujipima nguvu kabla ya mashindano hayo kuanza kuanza”. Alisema Nambunga.
Nambunga alisema kuwa katika maandalizi hayo tayari kikosi chake kimeonyesha ukali wake kwa kuonyesha makali baada ya kuitandika timu ya Madini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. 
Ras Morogoro inatarajia kujipima nguvu na St Joseph Kihonda Morogoro na Morogoro Veteran.“Naandaa timu kwa ajili ya mashindano ya Shimiwi na hivi sasa nipo katika maandalizi ya kuwapa wachezaji wangu mazoezi makali na baada ya hapo nitahitaji michezo mitatu ama minne ya kujipima nguvu kabla ya mashindano hayo kuanza kuanza”. Alisema Nambunga.Nambunga alisema kuwa katika maandalizi hayo tayari kikosi chake kimeonyesha ukali wake kwa kuonyesha makali baada ya kuitandika timu ya Madini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. 
Ras Morogoro inatarajia kujipima nguvu na St Joseph Kihonda Morogoro na Morogoro Veteran.Nambunga alisema kuwa katika maandalizi hayo tayari kikosi chake kimeonyesha ukali wake kwa kuonyesha makali baada ya kuitandika timu ya Madini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. Ras Morogoro inatarajia kujipima nguvu na St Joseph Kihonda Morogoro na Morogoro Veteran.
TIMU ya mchezo wa netiboli ya Ras Morogoro ipo katika mazoezi makali ya kujiandaa na mashindano ya Shimiwi 2013 katika uwanja wa ndani wa jamhuri Morogoro.
source:jumamtanda.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages