Breaking News

Friday

RAIS KIKWETE NA RAIS KAGAMEUSO KWA USO KAMPALA NCHINI UGANDA

 Rais Poul Kagame wa Rwanda akiteta jambo na Rais Jakaya Kiwete wa Tanzania kulia wakati walipokutana katika mkutano wa ICGLR Summit mjini Kampala Uganda leo. 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutana faragha sambamba na mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala,Uganda.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages