Breaking News

Sunday

SHEREHE YA KUMPONGEZA BI MARY PETER ZAKARIA KWA KUHITIMU DIGRII YA SHERIA NCHINI UINGEREZA ILIYOFANYIKA KATIKA HOTEL YA GIRRAFE

Mary akiwa na bibi yake  pamoja na babu yake
<<< KWA PICHA ZAIDI BONYEZA REED MORE KUSHOTO >>>



 Mary akiwa na mdogo wake Anna

 Mary na rafiki yake

 Anna na marafiki zake



Mary akiwa na bibi yake

Mary akiwa na dada yake Kariba

Marry akiwa na wadogo zake Lulu na Dodo

Mary akiwa na dada yake

Mary akiwa na aunt yake Joyce

Mary akiwa na mjomba wake Nyarobi

Mary akiwa na mdogo wake Gloria

Mary akiwa na mdogo wake Anna katika sherehe ya kumpongeza


Mary akiwa na mama yake mdogo Devotha aka mamushka

Mary katika pozi maridadi kweli

Mary akiingia kwa shangwe ukumbini wakati wa sherehe ya kumpongeza

Sherehe ikifunguliwa kwa sala
Keki maalum kwa hafla hiyo

Mary akifungua shampeni na marafiki zake

Mc Simba ambaye alikuwa mshereheshaji akiwajibika ipasavyo

Mary akiwa na mdogo wake Lewisky wa mwisho kuzaliwa katka familia yao




Mary akikata keki




Gloria akimlisha dada yake kipande cha keki

Marry akiwalisha keki Mjomba na Shangazi yake




Marafiki wa Mary wakifurahia sherehe hiyo

Mjomba wa Mary akitoa nasaha  na kuwashukuru waalikwa kwa kuhudhuria hafla hiyo

Mary akipakua chakula maalum katika hafla hiyo ya kumpongeza



Ndugu jamaa na marafiki wakiendelea kupata msosi katika hafla hiyo fupi






 Mkurugenzi wa GirrafeHotel Mr Minja nae alikuwepo

 Marafiki wakitoa zawadi kumpongeza Mary



 Mc Simba akisisitizéa jambo katika sherehe hiyo

Share:

1 comment:

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages