Breaking News

Saturday

SEND OFF PARTY YA BI ROSE ILIYOFANYIKA BANORA HALL

Saluni aliyopambwa Bi Rose

 Bi Rose katika pozi mara baada ya kupambwa

Akivaa hereni




Akiwa kwenye gari tayari kwa safari ya ukumbini Banora



Ukumbi wa Banola ukiwa umeandaliwa maalum kwa usiku wa Rose


Mc Simba ambaye ndiye alikuwa mshereheshaji wa usiku wa Bi Rose

Bi Rose akiwa na mpambe wake wakiwa tayari  kufungua shampeni

Wakinywa shampeni kama ishara ya ufunguzi wa sherehe hiyo maalum

Ndugu jamaa na marafiki wakitakiana heri na baraka kwa kuhudhuria katika usiku wa Bi Rose
                  

Keki maalum kwa siku ya kumpongeza Bi Rose kwa hatua  kubwa maishani mwake

Akielekezwa na mpambe wake namna ya kukata keki hiyo

Bi Rose akimlisha mpambe wake keki na kumshukuru kwa kujumika nakukubali kuwa mpambe wake siku hiyo

Bi Rose akimkabidhi keki mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe yake

Ndafu time   


Maridadi kweli kweli

Akiwa katika pozi na mpambe wake walipendeza sana


Akimvisha saa mmewe mtarajiwa

Wakiwa na nyuso za furaha Bi Rose na Mmewe mtarajiwa wakipita mbele wageni waalikwa wapate kumuona walipendeza sana


Mda wa chakula Bi Rose akipakua chakula maalumu kilichoandaliwa kwa ajili ya siku yake mhimu

Akimlisha chakula mme wake mtarajiwa

Wazazi wa Bi Rose wakitoa neno na nasaha kwa mtoto wao mpendwa na mmewe mtarajiwa ili kuwatakia baraka katika maisha yao mapya



Zawadi ya kamati ya maandalizi ikitolewa

Mama mzaa chema akitunzwa na wageni waalikwa

Bi Rose akimpa mkono mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe yake kama ishara ya shukrani

Kaka wa Bi harusi Bw Patrick akitoa Nasaha kwa mdogo wake Rose

Kaka na Dada wakikumbatiana na kutakiana maisha mema

Picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo


Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wakiondoka ukumbini huku wakiwapungia mikono waalikwa

Share:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Powered by Blogger.

Pages