Breaking News

Monday

HABARI ILIYO TUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASHI AFARIKI DUNIA.





Habari iliyo tufikia hivi punde ni taarifa ya kifo cha msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) aliyewahi kutamba na michezo ya ITV akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine wengi katika michezo ya  Tamu chungu  na mingine mingi Amefariki  mchana huu akiwa katika hospitali ya Muhimbili alipo kuwa  amelazwa akizungumza na wandishi wetu  Rais wa shirikisho la wasanii amesema amopokea taarifa hiyo kwa majonzi makubwa na anasema kwamba tasnia yake bado inaendelea  kumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya MUNGU pia tulifanikiwa kuongea na Mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja  akiwa kama kiongozo wake amesema  wamepoteza msanii  hodari na mpiganaji na pengo lake ni kubwa katika tasnia yetu
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KASHI MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67163
Powered by Blogger.

Pages