Breaking News

Wednesday

AJALI YA BUS LA SAI BABA









watu 21 wamejeruhiwa vibaya na wengine 30 wakinusurika kifo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es salaam kwenda Songea kupata ajali eneo la vigwaza mkoani pwani.
 akizungumza na MC SIMBA BLOG mkuu wa kikosi cha askari wa barabarani Chalinze Assistance Inspector Sule amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa mbili asubuhi ya leo July 02 baada ya basi la abiria la kampuni ya Saibaba lenye namba za usajili T 779BKL kutaka kulipita gari lingine huku likiwa katika mwendo kasi na hatimaye gari lilimshinda dereva huyo na kisha kupinduka
Aidha ameongeza kuwa majeruhi hao wamekimbizwa katika hosiptali ya tumbi kibaha kwaajili ya matibabu,basi hilo lilikuwa na jumla ya abiria 51.
**ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU**

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Chapisho Lililoangaziwa

WEDDING PARTY PHILLIPO AND LUSIO

PHILLIPO & LUSIO WEDDING PARTY: STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING MC & MUSIC BY MC SIMBA COMPANY 0715 501 059 ...

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

67162
Powered by Blogger.

Pages